KISA CHA AINA YAKE: MWANAUME AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KOSA LA KUGOMA KUMTOA MKEWE OUTING..!

Kesi imefika Mahakamani, mke anaomba mumewe ashitakiwe eti kosa ni kitendo cha mwanaume huyo kugoma kumtoa outing mkewe ili wakale chakula cha usiku katika mgahawa mkubwa town, ikaenda mbali zaidi pale mwanamke alipodai talaka.

Uttar Pradesh ni mwanamke aliyewasilisha madai hayo huko India dhidi ya mumewe Allahabad, ndoa yao ina miaka mingi ikiwa hai lakini kwa kosa hili la mume kumgomea outing mke wake kwenda diner kwenye migahawa mikubwa kama McDonald, tayari kumetia doa ndoa yao.

Jaji akaona isiwe tatizo, Mahakama ikakataa kusikiliza kesi hiyo na badala yake, Jaji akashauri wakamalizane kwa mshauri wa masuala ya ndoa.

Unadhani hii aliyofanya mwanamke huyu iko sawa mtu wangu?


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo