skip to main |
skip to sidebar
KANGI LUGOLA AOMBA KUVAA KININJA ILI ACHANGIE RIPOTI YA TEGETA ESCROW BUNGENI
MBUNGE wa
Mwibara (CCM), Alphaxard Kangi Lugola wakati akichangia katika Ripoti ya
PAC kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow bungeni leo, ameomba
kuchangia huku akiwa amevaa 'Kininja' ili kutowaangalia usoni wahusika
wa sakata hilo.
Mbali na
kuvaa hivyo, Lugola pia aliomba kama kanuni zinaruhusu achangie tena
akiwa amevaa nguo za chama chake cha CCM ili kuonyesha kuwa CCM haiungi
mkono vitendo viovu japo alikataliwa na Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Zungu.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi