skip to main |
skip to sidebar
IRENE UWOYA AAMUA KUMFUATA MUMEWE, NI BAADA YA KUONA.................!!!!!!


Star wa filamu Tanzania Irene Uwoya ambaye ndoa yake na Ndikumana
Katauti wa Rwanda iliingia katika gogoro zito na kila mtu kuishi peke
yake wanataka kuishi tena pamoja !.....Picha mpya za Irene Uwoya akiwa
na Ndikumana zimetoka. Inadaiwa kuwa Uwoya alienda Rwanda kumtembelea
Ndikumana ambaye wamezaa mtoto mmoja. Hizi picha zinaonyesha kama vile
Uwoya alikuwa akiagwa na Ndiku kurudi Tanzania ingawa Uwoya anaonekana
hana raha na sababu bado haijulikani.
Je kwakwuangalia picha hizo, unamzungumziaje Irene?
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi