YA NINI NAMBA WAKATI TUNA MAJINA BWANA, STAA HUYU WA BONGO AAMUA KUWEKA JINA LAKE KWENYE GARI BADALA YA PLATE NAMBA

Diamond Platnumz ambae kwenye birthday yake hivi karibuni management yake ilimzawadia gari aina ya BMW X 5 ambapo inaaminika amechukua namba hizi kwa ajili ya mkoko wake aliozawadiwa Na atakua msanii wa kwanza kuweka jina lake badala ya namba kwenye gari. 
 bmw 2
Utaratibu wa kuweka majina badala ya namba umeanza kutumika kihalali nchini Tanzania ambapo watu mbalimbali wasio maarufu walishaanza kujiwekea miezi kadhaa iliyopita ambapo ada yake ni milioni tano kwa miaka mitatu.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo