KILICHOMPATA ADMIN WA BLOG MOJA HIVI KUHUSIANA NA KUMTETEA MISS TANZANIA 2014 WEE...SOMA HAPO CHINI

Sekeseke hilo limeendelea kutokea katika blog moja ambayo inahusika na umbea wa hapa Mjini ambapo admin wake aliweka mada kuhusiana na Ushindi na Umri wa Miss Tanzania 2014 aka Miss France, Miss 23 mara baada ya kuweka mada hiyo Basi Wachangiaji wakachangia na ndipo Baadae Admin wa Blog hiyo akaweka post Yenye kumtete Unajua Alichokipata Fuatilia threat hizo chini hapo........................

Na Haya ndio Maneno ya Admi wa Blog hiyo Ya Udaku aka Umbea....

Duuh ..Nimekoma! Leo nilipost Post Moja Nikimtetea Miss Tanzania kwa Kile Kinachoendelea Mitandaoni Kuhusu Ushindi wake na Umri ..Yenye Kichwa cha habari : Tumechokaaa na Story za Miss Tanzania ooh Hana Vigezo ooh Sijui Mkubwa Mara Nini na Nini

"Watz bwana hata angepewa nani hilo taji la miss Tanzania msingerizika mngemchamba tu ! Muacheni Mtoto wa watu apumue kama kushinda ndio kashashinda umri wake unaingiliana vipi na umiss?"

Nilichoambulia nia Kupewa za uso live Bila chenga ....Hii inaonesha Issue hii ya Miss Tanzania Bado Inaendelea kuwagusa Watu Sana Kiasi kikubwa.

Soma Hapo chini Nilichoambia na Wadau wa Udaku ...Mekoma mie...Wapi Lundenga?


Crdt Udakuspecial Blog


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo