|
Baadhi ya watendaji wa TANAPA,wakimsikiliza
Waziri Nyalandu alipotembelea hifadhi ya taifa ya Arusha.toka kulia ni
Meneja Mawasiliano wa TANAPA ,Paschal Shelutete,Mhifadhi Mkuu Hifadhi
ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,Erastus Rufungulo na Betrita Loibook
,Mhifadhi Mkuu Arusha National Park. |
|
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro
Nyalandu akiteta jambo na Mhifadhi Mkuu Arusha National Park,Betrita
Loibook. |
|
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro
Nyalandu akizungumza na Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua
Nassar walipokutana katika Hifadhi ya Taifa ya Arusha na kumshawishi
kutembelea hosptali ya Africa Amini Hearing Center. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii
,
Kanda ya Kaskazini.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi