Jana Ilikua ni zamu ya Kigoma kusambaziwa upendo wa tamasha
la Fiesta ambalo mwaka huu wa 2014 limefanyika kwenye miji 18 ambapo
Kigoma na Mtwara ndio imekua miji ya mwisho kulishuhudia likiongozwa na
Linah, Madee, T.I.D, Stamina, Rachel, Ali Kiba, Linex, Baba Levo, Mr.
Blue, Chege na Makomando.
PICHA ZA SERENGETI FIESTA 2014 ILIVYONOGA HUKO KIGOMA, NI SHEEEEEDAH
By
Edmo Online
at
Sunday, October 26, 2014