MSEMAJI WA WIZARA YA AFYA ASEMA HAKUNA EBOLA TANZANIA, SIKILIZA SAUTI YAKE HAPA

Wizara ya afya na Ustawi wa Jamii, imesema kuwa ugonjwa wa ebola bado haujaingia nchini kama ambavyo baadhi ya watu wanadai.


Akizungumza na Times Fm, Msemaji wa Wizara hiyo, Nsachris Mwamwaja amesema kuwa ugonjwa huo ni janga la kimataifa na kwamba endapo ungekuwa umeingia Tanzania wizara hiyo haina sababu za kuficha.


Msikilize hapa akieleza kwa undani:


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo