Baada ya Jana kukuletea Episode Tano muhimu zilizopewa jina la Video 5 Hatari toka jumba la Big Brother Africa zikianika kila kitu tangu shindano la mwaka huu lianze, hii ni nafasi nyingine tena ya kukuletea maisha binafsi ya washiriki wa jumba hilo wakioga pamoja bafuni....
Kamera
za jumba hilo la kikubwa zimewamulika na kuwanasa live
mshiriki wa kike wa Mozambique( Mira), mshiriki wa kiume wa
Nigeria ( Tayo) na Mshiriki wa kike wa Botswana ( Sheillah)
wakioga pamoja bafuni.
Kumbuka,
video kama hizo ni kwaajili ya VIP tu, lkn site yako pendwa
itahakikisha unazipata bila kujali ni VIP au la.
Katika
shindano hili, Tanzania inawakilishwa na wshiriki wawili ambao
ni Idris na Laveda ambao kikukweli wanafanya vyema sana .
Habari njema tu ni kwamba mshiriki wetu wa kike ( Laveda) ni Head of House ikiwa na maana kwamba yeye si miongoni mwa washiriki walioko kikaangoni kutolewa wiki hii.
Habari njema tu ni kwamba mshiriki wetu wa kike ( Laveda) ni Head of House ikiwa na maana kwamba yeye si miongoni mwa washiriki walioko kikaangoni kutolewa wiki hii.