Gari
hili linauzwa kwa bei nafuu sana. Ni gari aina ya Suzuki Grand Vitara,
mwaka 2001, 4 Cylinder, 4WD Petrol, ni automatic, lipo jijini Dar es
Salaam na linatembea bila matatizo yeyote
Kwa yeyote anayehitaji awasiliane kwa namba hizi 0753096322 au 0784853531