AJINYONGA HADI KUFA BAADA YA KUPATA MAJIBU KUWA ANA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI

Ndugu Issa   Ramadhani  (36)  mkazi wa majengo Manispaa ya Shinyanga aliamua kuchukua jukumu la kujinyonga  chumbani kwake kwa kile kinachodaiwa  kwenda kupima na kuonekana majibu kuwa ana maambukizi ya virusi vya ukimwi, kabla ya kujinyonga kwake kwa kutumia kamba ya katani  alimtuma mkewe kwenda kwa wazazi wake  huku nyuma akachukua jumkumu la kujinyonga huku akicha ujumbe wa maneno kuwa  NIMEAMUA KUJINYONGA na simu yake ya mkononi  ikiwa kitandani 
Mwili wa marehemu Issa ukiwa umebebwa kwa kupelekwa mochwari atika hospitali ya mkoa wa Shinyanga .

Mwili wakiutoa nyumbani baadhi ya majirani na kuupeleka kwenye gari la polisi tayari kuusindikiza mpaka mochwari kuhifadhiwa huku wakisubiriwa ndugu na jamaa kufanya taratibu za mazishi.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo