Umati wa watu wakishuhudia Gari la Kikosi cha Zimamoto na askari wa kikosi hicho wakijitahidi kuzima moto eneo ya tukio.
ANGALIA VIDEO YA TUKIO HILO
Gari
aina ya Allteza imepata ajali hapa Africana karibu na Mbuyuni, imewaka
moto na inasemekana hakuna mtu aliyetoka kwani lilijikita kwenye mtaro
na kulipuka!
Katika ajali hiyo imedaiwa kuwa ndani ya gari hilo dogo
kulikuwa na watu watatu ambao wameungua na kuwa majivu!
CREDITS:GPL