TACAIDS KUWAPA MADEREVA WA MASAFA MAREFU ELIMU JUU YA KUJIKINGA NA VIRUSI VYA UKIMWI



Mratibu wa Programu maalum za Tume ya Kudhubiti Maambukizi ya Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Bw. Renatus Kihongo (wa pili kutoka kushoto) akiongea na wanahabari kuhusu uwekaji wa vituo vya kutoa elimu ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Ukimwi katika vituo vya madereva wa magari yanayosafiri safari ndefu. Wa tatu kushoto ni Ofisa Habari wa TACAIDS, Bwana Godlease Malisa na kwanza kutoka kushoto ni Bi. Nadhifa Omar.
(Picha na Benjamin Sawe)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo