MSANII HUDDAH MONROE AZINDUA VAZI LAKE JIPYA AKIWA UCHI WA MNYAMA


Msanii  maarufu  wa  Kenya, Huddah  Monroe  amezindua  vazi  lake  jipya  kwa  staili  ya  kipekee  na  ya  aina  yake.....
 
Katika  uzinduzi  huo, mrembo  huyo  ameamua  kujianika  hadharani  akiwa  uchi  wa  mnyama, juu  akiwa  amevaa  vazi  lake  jipya  alilolizindua.( Tazama  picha  hapo  chini)

Picha  hiyo  ilisindikizwa  na  ujumbe usemao: "Everyday above ground is a blessing . What Jah bless , No man curse! ✌️"


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo