Mkali kutoka pande za Mwanza, Young Killer akichana mistari stejini.
****
TAMASHA la Serengeti Fiesta 2014 usiku wa kuamkia leo limeonyesha
hali ya kukubalika vilivyo kwa wakazi wa Geita baada ya uongozi wa
Tamasha hilo kuamua kuwapa burudani hizo kwa mara ya kwanza na wakazi
hao kuonyesha hali ya kuitikia vilivyo kwa kufurika ndani ya Ukumbi wa
Desire Park mkoani humo.
