

Baadhi ya maduka yaliyoko mitaa mbalimbali ya Kariakoo yakiwa yamefungwa.
BAADHI ya wafanyabiashara wa Kariakoo jijini Dar es
Salaam, wamegoma kufungua maduka wakidai warudishiwe mashine za mkono za
awali badala ya zile za EFD, wakisema zinatumia ‘network’ na inapokuwa
haipo panakuwa na usumbufu kwa wauzaji na wateja.
Kamera ya GPL imezunguka maeneo mbalimbali ya mitaa ya Kariakoo, na
kujionea maduka yakiwa yamefungwa huku kukiwa hakuna wingi wa watu kama
siku zingine.
Gabriel Ng’osha na Haruni Sanchawa/GPL
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi