Yaani unaambiwa kama hujawahi kujua mengi kuhusu
ndoa,mahusiano,mapenzi,maanjumati na kila kitu...Njoo hudhuria hii event
itakayoendeshwa na mtaalam wa Saikolojia,Tanzania Dr.Chris
Mauki...ukiikosa utaadithiwa alafu hautajiskia vizuri...njoo live
tufurahi pamoja na kujifunza pamoja..Acha kuishi na mwenzi wako kwa
mazoea..
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE JULAI 28, 2026
7 hours ago
