NAPE NNAUYE AKERWA NA KAULI ZA KUMKASHIFU RAIS JK NA CCM

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).
Picha ya jengo la ofisi ndogo ya Chama Cha Mapinduzi ‘’CCM’’ Lumumba, Jijini Dar.
 
Na Gabriel Ng’osha/ GPL
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ‘’CCM’’ Taifa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema anakerwa na lawama pamoja na lugha za dharau na kejeli za baadhi ya wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kupitia midahalo waliyoifanya dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo