Upepo uliovuma kwa dakika kumi katika eneo la pongwe wilaya ya
kati mkoa wa kusini unguja umeezua paa za nyumba 11 kunguo miti na
kusababisha uharibifu wa mazingira .
Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari kamanda wa
polisi mkoa wa kusini Unguja SACP kamishna msaiidzi Juma Saad Khamis
ameseMa upepo huo uliokuwa mkali ulikuja wakati wamchana na ulikuwa
waghafla kiasi cha kuwachanganya wakaazi wa eneo hilo la Pongwe
pwani na kusababisha hasara hiyo kubwa kwa familia za wananchi hao.
Nao mkazi wa eneo hilo Said Juma Nyange nashehawa
sheha washehia hiyo silima ame juma wameelezea jinsi upepo huo ulivokuja
na kuharibu maliza wanaanchi huku sheha huyo akielzea hatua
zinazochukuliwa na hasara zilzopatokea.
Hata hivyo wakati uppeo huo umeelta hasara kubwa
hapakuwepo na taarifa yeyote ya tahadhari au onyo lolote kwa wanaanchi
wa mkoa huo kutoka mamlaka ya hali ya hewa afisi ya Zanzibar
kuijiandaa na upepo huo.
