USWISI
imetoka na nyuma na kushinda maBao 2-1 dhidi ya Ecuador katika mchezo
wa Kundi E Kombe la Dunia, mabao yote yakifungwa na wachezaji waliotokea
benchi mjini Brasilia.
Admir
Mehmedi alikuwa amedumu uwanjani kwa sekunde 121 tu wakati amnaifungia
Uswsi bao la kusawazisha kufuatia Enner Valencia kuwafungia Ecuador la
kuongoza.
Bao la Seferovic pia lilihakikisha hakuna safe katika michuano hiyo hadi sasa kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1934.
Raha tupu: Seferovic akishangilia bao lake la ushindi aliloifungia Uswsi jioni hii
Hakuna
kuremba: Winga wa Ecuador, Antonio Valencia akiwa a einua mguu juu
kupiga mpira dhidi ya beki wa kushoto wa Uswsi, Ricardo Rodriguez
