UNCLE KIEPE: ANGALIA PICHA NNE ZA MSANII BATULI AKIUZA MIHOGO



Star wa filamu nchini mwenye mvuto wa aina yake Yobnesh Yusuph "Batuli" ameamua kuuza mihogo ili kujikimu kimaisha baada ya hali kuwa ngumu.
 
Hayo yameajiri katika filamu mpya ya Uncle Kiepe ambapo amecheza na Patcho Mwamba na Philemon Lutwaza.
 Angalia baadhi ya picha.
 
 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo