Kuna
lori lililokuwa limebeba kontena limejaribu kupita daraja
linalounganisha UKONGA {BANANA)- SEGEREA- KINYEREZI NA MBEZI
limeharibika kabisa kwa kutumbukia mtoni.Gari na daraja vyote
vimeharibika.Ajali hiyo imetokea jana jijini Dar es salaam
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi