Hii ni video ambayo imeongozwa na mshindi wa tuzo ya
Muongozaji[Director] anayependwa Nisher kutoka Arusha,ni video ya pili
kutoka kwa Ben Pol baada ya kufanya nae video ya Jikubali,baada ya
kuangalia unaweza kuandika chochote ulichokipenda kwenye video hii.
Bonyeza play kutazama.