STEVE NYERERE ATUMBUKIA KWENYE SIASA, AUKWAA UKAMANDA WA CCM

Baadhi ya mastaa wa Bongo Muvi wakiwasili eneo la tukio, Wanachama wa CCM na watu wengine Wakiingia eneo hilo huku wakiwa wameongozana na Steve Nyerere
Steve Nyerere akiwasalimia wananchi
Mmoja wa wageni waalikwa wakizindua shina lililopewa jina Steve Nyerere
Steve Nyerere akiwa katika picha ya pamoja na Mike Sangu pamoja na mgeni rasmi
Steve Nyerere akifungwa kitenge shingoni na mama yake mzazi
....Akiwa katika pozi na silaha za jadi alizokabidhiwa
...Akihutubia wananchi
Kundi la Makomandoo la waimbaji Bongofleva wakifanya yao

MWENYEKITI wa kundi la Bongo Muvi Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ jana alisimikwa kuwa kamanda wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ tawi la Bwawani.

tukio la kusimikwa kwa mwenyekiti huyo lilikutanisha  mastaa kibao wa Bongo Muvi pamoja na wananchi mbalimbali waishio maeneo hayo.
(Picha habari: Shakoor Jongo /GPL.)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo