Muonekano
wa mbele wa basi la NBS T719 AZC baada ya kugonga basi la Princes Muro
T892 BUR lililokuwa likitokea Dar kwenda Mwanza eneo la Kimara.
Basi
la Princes Muro T892 BUR likitokea Dar kwenda Mwanza limegongwa nyuma
na basi la NBS T719 AZC likiwa safarini kuelekea Tabora eneo la Kimara
leo.
Askari wa Usalama barabarani akiongea na abiria wa basi la NBS baada ya kutokea ajali.
Abiria wa basi la Princes Muro T892 BUR wakikagua basi lao.
CHANZO cha ajali ni uzembe wa dereva wa basi la
Princes Muro aliyekuwa akiendesha basi lenye namba za usajili T892 BUR
ambapo akiwa upande wa kulia wa barabara, ghafla alichepuka upande wa
kushoto kwa lengo la kumshusha mfanyakazi mwenzake mahala ambapo si
kituo cha kushusha abiria.
(PICHA NA Global WhatsApp
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi