Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na ujumbe wa
Tanzania kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika
Mjini Malabo, Equatorial Guinea. Miongoni mwa masuala muhimu
yanayotarajiwa kujadiliwa kwenye mkutano huu ni bajeti ya umoja huo na
mkakati wa kukusanya maoni kutoka nchi wanachama kuhusu Afrika ifikapo
mwaka 2063, ambapo umajo huu utafikisha miaka mia moja.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa
na wajumbe wenzake kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika
unaofanyika Mjini Malabo, Equatorial Guinea.
Viongozi wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika wakiwa kwenye picha ya Pamoja.Picha na IKULU.
RAIS KIKWETE ASHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI ZA UMOJA WA AFRIKA,MJINI MALABO, EQUATORIAL GUINEA
By
Edmo Online
at
Friday, June 27, 2014