Ajali hii imetokea Ubungo Darajani karibu na mitambo ya kuzalishia gesi ambapo lori la kubebea mchanga likiwa limegonga gari dogo ambalo lilikuwa likikatisha barabara ghafla, haikufahamika maramoja kama ajali hiyo imejeruhi watu lakini hakuna mtu aliyepoteza maisha.
Inadaiwa na mashuhuda ajali hiyo imesababishwa na uzembe wa dereva wa garidogo kuingia ghafla barabara kuu






