Tukio
hili limetokea hii leo majira ya saa saba mchana eneo la Ubungo
Darajani barabara ya mandela, ambapo umati wa watu waliofurika kwenda
kumzika shehe, wamelazimika kufunga barabara kwa muda kadhaa ili
kuupitisha mwili wa marehemu kwenda kuuzika.
haikufahamika
mara moja wanakwenda kuuzika katika makaburi ya wapi lakini walikuwa
wakipita kwa miguu barabarani wakipokezana kubeba jeneza lenye mwili wa
marehemu hali iliyolazimu magari yote kusimama kuwapisha.
Tazama picha zote hapo juu






