skip to main |
skip to sidebar
NEWS ALERT: MOTO WAZUKA NA KUUNGUZA SEHEMU YA CHUO KIKUU CHA UDOM USIKU WA KUAMKIA LEO
Uchunguzi umeanza asubuhi hiikujua chanzo cha kuzuka kwa moto
karibu na hostel za wasichana katika skuli ya sanaa na lugha (School of
Humanities) katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) usiku wa kuamkia leo.
Athari za moto huo bado hazijajulikana.
Wakaazi wa
mji huo walisikia vingo'ra vya magari ya zimamoto yakielekea chuoni
huko kwa kasi, na miali mikubwa ya moto kuonekana katika vilima vya
Chimwaga kipo chuo hicho usiku wa manane. Taarifa zaidi tutapeana kadiri
zitavyotufikia
Wanafunzi wakirekodi tukio hilo
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi