MWENGE WA UHURU WAWASILI MKOANI IRINGA KUANZA MBIO ZAKE

 MKUU WA MKOA WA IRINGA DK CHRISTINE ISHENGOMA AKIZUNGUMZA BAADA YA KUUPOKEA MWENGE KUTOKA MKOA WA MOROGORO

 MKUU WA WILAYA YA KILOLO, GERALD GUNINITA AKIKABIDHI RISALA YA UTII KWA KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA..

 MKUU WA MKOA WA MOROGORO JOEL BENDERA AKIZUNGUMZA KABLA YA KUMKABIDHI MWENGE MKUU WAMKOA WA IRINGA, DK CHRISTINE ISHENGOMA
WANAFUNZI WAKIUGUSA MWENGE KWA SHAUKU

MWENGE WA UHURU UMEANZA MBIO ZAKE MKOANI IRINGA, UKIANZIA WILAYA YA KILOLO.
ZAIDI YA MIRADI 42 ITAZINDULIWA NA MWENGE HUO KABLA YA KUKABIDHIWA MKOANI NJOMBE JUNE 28.
BY FRANK KIBIKI-KILOLO


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo