Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe SACP Fulgence Ngonyani.
Nb:- Sehemu iliyozibwa kwa wino mwekundu imefanywa na mhariri wa mtandao huu ili kuzuia jina la mtoto aliyefanyiwa unyama huo lisionekane, kwani ametajwa kwa jina na taarifa hii, kwa mujibu wa maadili ya uandishi wa habari si vyema jina lake likawekwa wazi.