KALALE PEMA PEPONI MWALIMU WETU MPENDWA MZEE SOLOMON NDANDU, KATIBU WA TSD WILAYA YA MAKETE

Marehemu Mwalimu Solomon Ndandu (enzi za uhai wake) akichangia hoja katika kikao cha ufunguzi wa mradi wa shule salama ngazi ya wilaya katika Ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Makete 27/04/2012. Mwalimu Ndadu amefariki dunia jana 14.06.2014 wakati akipatiwa matibabu. hadi anafariki dunia alikuwa ni Katibu wa TSD wilaya ya Makete mkoani Njombe

Mtandao huu wa www.edwinmoshi.com unatoa pole kwa ndugu jamaa na marafiki wa marehemu katika kipindi hiki kigumu kwao, na zifuatazo hapa chini ni baadhi ya kauli za watu katika mtandao wa facebook kuhusu kifo cha Mzee Solomon Ndandu


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo