JAMAA HUYU ALIYEKUFA NA KUZIKWA AIBUKA AKIWA HAI, SIKILIZA AKISIMULIA ILIVYOKUWA

Unaweza kudhani labda ni simulizi za kusisimua ambazo pengine huwa nyingi zinaishia kuandikwa tu kwenye majarida na makala mbalimbali lakini hii ni tofauti mtu wangu,unaambiwa huyu jamaa alifariki na ndugu zake wakaenda kuuchukua mwili wake kisha kuuzika kwa heshima zote.

Sasa inshu imekuja jamaa amerudi na tatizo limekua hakuna anayemuamini hadi mke wake kamkimbia na kaburi lake lipo kinachoshangaza ni mpaka hitma wameshakamilisha
Bonyeza play kumsikiliza.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo