Jeneza lenye mwili wa marehemu Fidelis Siwangu Chale likiwa katika Kanisa la St. Peter Oysterbay jijini Dar.
Jeneza likishushwa kutoka kwenye gari ili kuingia kanisani.
Rafiki kipenzi wa marehemu Fides Chale akisoma wasifu wa marehemu.
Shada la wajukuu kwa ajili ya bibi yao likiwa kanisani.
Viongozi wa Kanisa Katoliki la St.Peter wakiwa katika ibada ya kumuombea Fidelis Chale.
Wajukuu wa marehemu Fides.
Wanafamilia wakiwa kanisani.
Wanafunzi wa St. Antony ambapo marehemu aliwahi kuwa mwenyekiti wa chama cha wazazi wakiwa katika ibada hiyo.
Waumini wakiendelea na ibada.
Wasifu wa marehemu.
MWILI wa aliyekuwa mwanzilishi na muasisi wa TGNP, Fidelis Siwange
Chale umeagwa leo katika Kanisa Kanisa Katoliki la St. Peter, Oysterbay
jijini Dar na baadae kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni. Marehemu
alifariki dunia Juni 2, mwaka huu.
(Picha zote na Gabriel Ng’osha/GPL)
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube