BASI LA AHIDA'S LAPATA AJALI NA ABIRIA KADHAA WANAHOFIWA KUFA KIBITI MKOANI PWANI

Basi la Kampuni ya AHIDA"S 
lenye namba za usajili T 231 BHC linalofanya safari zake za kila siku Kutoka Dar - Lindi - Tunduru Limepata ajali mapema asubuhi ya leo katika eneo la kijiji cha Kinyanya - Kibiti na kudaiwa Kusababisha Vifo zaidi ya watu 3 na majeruhi.
 
Ajali hiyo ilitokea baada ya Dereva wa basi hilo kumkwepa 
mtoto aliyekuwa anakatiza barabara.
 
 Mara baada ya kutokea ajali hiyo dereva aliweza kujisalimisha kituo cha polisi cha Kibiti. Basililikuwa likitokea Dar es salaam kwenda Tunduru.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo