ZAIDI YA BILIONI 39 ZATENGWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA

Serikali sikivu ya chama cha mapinduzi imetangaza kupitia waziri Lukuvi kutenga zaidi ya bilion 39 za kuboresha daftari la wapiga kura. 

Mh. Lukuvi Ameeleza kuwa daftari lililopo lina wapiga kura milion 20 waliojiandikisha na pia zaidi ya wapiga kura milioni 5.8 wapya wataandikishwa ili waweze kushiriki upigaji kura 2015.
Aidha ametangaza awamu mbili za uandikishwaji huo kama ifuatavyo:

Awamu ya kwanza itaanza Septemba na kumalizika Desemba mwaka huu.

Awamu ya pili itaanza april na kumalizika August mwaka kesho.

Source; The Citizen newz.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo