Baadhi ya Wauguzi wakila kiapo cha uaminifu na kutunza siri za
wagonjwa wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani yaliyofanyika
katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha leo.
Baadhi
ya wauguzi waliohudhuria sherehe za siku ya wauguzi duniani
wakifuatilia kwa makini Hotuba ya mgeni rasmi Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete mjini Arusha leo
Baadhi
ya wauguzi waliohudhuria sherehe za siku ya wauguzi duniani
wakifuatilia kwa makini Hotuba ya mgeni rasmi Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete mjini Arusha leo