WATU WANNE WAPOTEZA MAISHA KWENYE MLIPUKO WA BOMU MJINI NAIROBI



WATU wanne wanadaiwa kupoteza maisha wakati wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya milipuko miwili ya maguruneti kutokea eneo la Gikomba mjini Nairobi, Kenya.

 Mlipuko wa kwanza umetokea katika basi la abiria 'matatu' wakati wa pili ukitokea katika soko la Gikomba.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo