WANAFUNZI WAKUTWA WAKISOMA HUKU WAKIKAA SAKAFUNI, DARASA LAO HALINA PAA WALA MADAWATI

Wanafunzi wa elimu ya awali, wakifundishwa na mwalimu Juliana Joseph huku wakiwa wamekaa sakafuni na juu ya paa kukiwa wazi katika moja ya vyumba vya madarasa ya Shule ya Msingi, Unyaghumpi vilivyozuiliwa kujengwa na Mbunge Tundu Lissu kwa kuwakataza wananchi kuchangia fedha na kuwaambia kuwa fedha zote zitatoka serikalini.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo