Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki akiungana na Meya wa Manispaa
ya Kinondoni, Yusuph Mwenda walipoungana na wananchi kufanya usafi
katika mto wa Mlalakuwa jijini Dar es Salaam ili kuepukana na ugonjwa
uliozuka wa Dengue ambao umekuwa tishio wakati akizindua zoezi la
kufanya usafi jijini lililokwenda kwa jina la ‘MLALAKUWA MTO WETU, AFYA
YETU’ lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki na Meya wa Manispaa ya
Kinondoni, Yusuph Mwenda pamoja na wananchi walioungana nae, wakiangalia
jinsi mto Mlalakuwa ulivyoharibiwa kutokana na mvua zinazoendelea
jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki (mbele) akiongozana na Meya
wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda kuvuka Mto Mlalakuwa kuongea na
wananchi waliokuwa ng'ambo ya mto.






