MWIGIZAJI na Muongozaji filamu
maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa
hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu
alfajiri ya kuamkia leo. Marehemu alianguka chooni akiwa location
katika Gesti ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar. Kabla ya mauti
kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo. MUNGU
AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
VIDEO KWA HISANI YA GLOBAL ONLINE TV
