Amina Ngaluma ni miongoni mwa waimbaji ambao waliipa umaarufu bendi
ya African Revolution ‘Tam tam’ kupitia wimbo wa Mgumba na baadae
kujiunga na bendi ya Double M Sound,kupitia ukurasa wa Amina Ngaluma wa
Facebook watu mbalimbali wameandika salaam za msiba huu.
Chanzo cha kifo bado hakijafahamika ingawa wamesema kuwa walimuuguza kwa siku kadhaa kabla ya umauti kumfika,
