Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipungia mkono waandamanaji aliowapokea katika
kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) Mei 1, 2014 katika
Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Akiwa
mwingi wa furaha, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea waandamanaji
katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) Mei 1,
2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kashikana mikono na viongozi wa serikali na
wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) huku wakiimba
wimbo wa wafanyakazi katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI
MOSI) Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipungia mkono maandamano ya magari aliyoyapokea
katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) Mei 1,
2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Wafanyakazi
Bora kutoka idara na taasisi mbalimbali wakimsikiliza Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akihutubia katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani
(MEI MOSI) Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi
Duniani (MEI MOSI) Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es
salaam.PICHA NA IKULU





