PICHA ZA BASI LA PRINCES MURO LILILOPINDUKA KWENYE MBUGA YA MIKUMI MOROGORO HIZI HAPA


Baadhi ya abiria wakiwa wamechanganyikiwa baada ya basi hilo kupata ajali
Magari yakiwa yamesimama ili kutoa msaada kwa abiria hao.
BASI LA KAMPUNI YA PRINCESS MURO LIMEPATA AJALI NA KUPINDUKA KARIBU NA MBUGA YA WANYAMA MIKUMI ABIRIA KADHAA WAMEJERUHIWA.BASI HILO LILIKUWA LIKITOKA NJOMBE KUELEKEA DAR ES SALAAM


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo