PICHA MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI DODOMA HII LEO


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta jambo na Mbunge wa Urambo na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Samuel Sitta, bungeni mjini Dodoma leo Mei 8, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza jambo na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, bungeni mjini Dodoma leo Mei 8, 2014.
Mbunge wa Viti Maalum Pauline Gekul akiwa Bungeni.
Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongozwa na mpambe wa Bunge kutoka ukumbini leo Mei 8, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo