PICHA KUTOKA MOCHWARI YA MOROGORO KUUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU GEORGE TYSON DAR KWA MAZISHI

IMG_4222
Pichani ni Anton Mtaka ambaye ni DC wa wilaya ya Mvumero hapa Morogoro, kulia ni raisi wa wasanii Mwakifamba wakiingia eneo la hapa Mochwari tayari kwa maandalizi yote kuwa sawa.
 IMG_4227
Mbonie Masimba leo ni mtu wa kulia kila mara akikutana na ndugu jamaa na marafiki, kweli huwezi amini kama Tyson hatunae tena, aliyevaa nguo ya njano yenye vidoti doti ameinama chini ni mama mzazi wa Mboni ambaye tulikuwa nae toka juzi kwenye shughuli ya kuwagaia wanafunzi madawati.
IMG_4231
Team ya The Mboni Show ikiwa kwenye picha ya pamoja, hawa niliosimama nao ndio waliokuwa kwenye ile gari pamoja na marehemu Geogre Tyson na hapo hali zao si nzuri sana kila mmoja analalamika maumivu kwenye sehemu zao za mwili. Halafu wawili wamekimbizwa hospital ya Mwimbili kwa matibabu ya haraka.
IMG_4236 IMG_4238
David mmoja wa camera man wa The Mboni Show akizungumza na waandishi wa habari.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA DJCHOKA


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo