PG4A9309
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa  Nkasi Kaskazini, Ally Keissy Mohamed, bungeni mjini Dodoma Mai 15, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
PG4A9316
Mbunge wa Viti Maalum, Mchungaji Dr. Getrude Rwakatare  (kulia) akizungumza na  Mbunge wa Ileje, Aliko Kibona, bungeni mjini Dodoma.
PG4A9343
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiteta na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia bungeni mjini Dodoma.
PG4A9392
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, bungeni mjini Dodoma Mei 15, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).