Mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Bw. Joseph Chota akielekea kukagua mabanda ya idara mbalimbali katika viwanja vya mabehewani wilayani Makete.
Bw. Simba akimweleza mgeni rasmi jinsi idara ya mipango inavyofanya kazi zake.
Afisa ardhi wilaya ya Makete Anikas Vilumba akimweleza mgeni rasmi kuhusu masuala ya ardhi yanavyofanyika katika ofisi yake.
Mratibu wa UKIMWI halmashauri ya wilaya ya Makete Bi Ester Lamosai akimweleza mgeni rasmi jinsi idara ya maendeleo ya jamii inavyofanya kazi zake.
Bi. Lamosai akifafanua jambo kwa mgeni rasmi (hayupo pichani)
Bw. Jackson Mahenge akimweleza mgani rasmi jinsi idara ya ujenzi inavyofanya kazi zake wakati mgeni rasmi alipotembelea banda la idara hiyo.
Kundi la vichekesho la mchana hasarani likimueleza mgeni rasmi jinsi linavyofanya kazi zake za kisanii wilayani Makete