Lakini, mama mmoja mjini Nairobi anaona zawadi kubwa inayowafaa watoto wake na hata wale wa jirani zake ni mipira ya Kondom.
Mwandishi wetu Seif Abdallah alikutana na mama
huyo anayesema kuwa anawakinga vijana wake kutokana na maambukizi ya HIV
mjini Nairobi.
