MAJONZI: USTADH ILUNGA AFARIKI DUNIA

Habari nilizozipata punde ni kwamba ustadh Ilunga Hassan Kapungu muasisi wa maneno mfumo kristo Tanzania amefariki dunia kwa ugonjwa wa kisukari na baadae figo zake kushindwa kufanya kazi.Ustadh Ilunga atazikwa Leo.
Innalilahi waina Ilaihi Rajiuun.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo